Kamerun

Jamhuri ya Kameruni
République du Cameroun (Kifaransa)
Republic of Cameroon (Kiingereza)
Kaulimbiu ya taifa:
Paix – Travail – Patrie (Kifaransa)
Peace – Work – Fatherland (Kiingereza)
"Amani – Kazi – Nchi"
Wimbo wa taifa: Chant de Ralliement
Mahali pa Kamerun
Mahali pa Kamerun
Mji mkuuYaunde
3°52′ N 11°31′ E
Mji mkubwa nchiniDuala
04°03′ N 09°41′ E
Lugha rasmi
SerikaliJamhuri yenye mdikteta
 • Rais
 • Waziri Mkuu
Paul Biya
Joseph Dion Ngute
Eneo
 • Eneo la jumlakm2 475 440[1]
 • Maji (asilimia)0.57[1]
Idadi ya watu
 • Kadirio la 202330 135 732[1]
Pato la taifaKadirio la 2023
 • JumlaOngezeko USD bilioni 49.262[2]
 • Kwa kila mtuOngezeko 1 721[2]
Pato halisi la taifaKadirio la 2023
 • JumlaOngezeko USD bilioni 133.335[2]
 • Kwa kila mtuOngezeko USD 4 660[2]
Maendeleo (2021)Imara 0.576[3] - wastani
SarafuFaranga ya CFA
Majira ya saaUTC+1
(Afrika Magharibi)
Upande wa magariKulia
Msimbo wa simu+237
Msimbo wa ISO 3166CM
Jina la kikoa.cm

Kameruni, kirasmi Jamhuri ya Kameruni, ni jamhuri ya muungano katika Afrika ya Magharibi.

Imepakana na Nijeria, Chadi, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Jamhuri ya Kongo, Gabon, Gine ya Ikweta na Ghuba ya Gine.

Lugha rasmi na lugha za taifa ni Kifaransa (kinachoongoza kwa zaidi ya asilimia 80) na Kiingereza.

  1. 1.0 1.1 1.2 "Cameroon § Summary". The World Factbook (kwa Kiingereza). Shirika la Ujasusi la Marekani. Iliwekwa mnamo 31 Machi 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. 2.0 2.1 2.2 2.3 "World Economic Outlook Database, October 2023 Edition. (Cameroon)". International Monetary Fund. 10 Oktoba 2023. Iliwekwa mnamo 14 Oktoba 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Human Development Report 2021/2022" (PDF) (kwa Kiingereza). United Nations Development Programme. Septemba 8, 2022. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka (PDF) kutoka chanzo mnamo 2022-09-08. Iliwekwa mnamo Septemba 8, 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy