Kansas

Sehemu ya Jimbo la Kansas








Kansas

Bendera

Nembo
Nchi Bendera ya Marekani Marekani
Mji mkuu Topeka
Eneo
 - Jumla 213,096 km²
 - Kavu 211,900 km² 
 - Maji 1,196 km² 
Tovuti:  http://www.kansas.gov/

Kansas ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Mji mkuu ni Topeka na mji mkubwa ni Wichita.

Kansas ni hasa jimbo la kilimo cha ngano pamoja na alizeti na mtama.

Jimbo lina wakazi wapatao 6,376,792 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 213,096.

Imepakana na Nebraska, Missouri, Oklahoma na Colorado.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy