Karne ya 17

Karne ya 17 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 1601 hadi 1700. Kikamilifu kilianza tar. 1 Januari 1601 na kuishia 31 Desemba 1700. Namba zake zinafuata hesabu ya miaka "baada ya Kristo".

Kama kila "karne" ni kipindi kinachohesabiwa kwa hiari ya kibinadamu kwa sababu ni mgawanyo wa kalenda tu - hali halisi maendeleo na mabadiiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu.

Kuna mambo mengi yaliyotokea wakati wa karne hii.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy