Kaunti ya Kakamega

Msitu katika Kakamega

Kaunti ya Kakamega ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.

Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 1,867,579 katika eneo la km2 3,020, msongamano ukiwa hivyo wa watu 618 kwa kilometa mraba[1].

Makao makuu yako Kakamega.

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy