Kaunti ya Kericho

Ramani ya Kaunti ya Kericho, Kenya

Kaunti ya Kericho ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.

Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 901,777 katika eneo la km2 2,436.1, msongamano ukiwa hivyo wa watu 370 kwa kilometa mraba[1]. Makao makuu yako Kericho.

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy