Kisindhi

Kisindhi ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan, Uhindi na Singapuri inayozungumzwa na Wasindhi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kisindhi imehesabiwa kuwa watu 18,500,000 nchini Pakistan na wasemaji 1,700,000 nchini Uhindi. Pia kuna wasemaji 3970 nchini Singapuri (2010). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisindhi iko katika kundi la Kiaryan.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy