Kongo

Kongo, Congo, na Kongō ni jina la kutaja mambo mbalimbali:

Jamhuri ya Kongo (mji mkuu Brazzaville), kabla ya uhuru "Kongo ya Kifaransa"
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (mji mkuu Kinshasa), kabla ya uhuru "Kongo ya Kibelgiji" (1908-1960)
  • Jamhuri ya Kongo (Léopoldville) (1960-1964)
  • "Kongo" imekuwa jina la meli za kijeshi huko Japani kutokana na mlima huu.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy