Kumi na moja

Kumi na moja ni namba inayoandikwa 11 kwa tarakimu za kawaida na XI kwa zile za Kirumi. Inafuata 10 na kutangulia 12.

11 ni namba tasa.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy