Kuvu (Fungi) | ||||
---|---|---|---|---|
Kuvu kwenye matunda yanayooza
| ||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||
| ||||
Ngazi za chini | ||||
Faila, nusufaila John Carroll Dikarya (inc. Deuteromycota) Nusufaila Incertae sedis |
Kuvu (jina la kisayansi kWa Kilatini: Fungi) ni kiumbehai ambacho si mmea wala mnyama. Uainishaji wa kisayansi unavipanga katika himaya ya pekee ndani ya Eukaryota. Kati ya kuvu kuna viumbe vikubwa kama uyoga na pia vidubini yaani vidogo vyenye seli moja tu kama hamira au maungano ya seli kama koga.
Utaalamu wa kuvu unaitwa mikolojia.
Kuvu zinatokea kwa namna mbalimbali