Lugha za Kivuka-Guinea Mpya

Lugha za Kivuka-Guinea Mpya (pia Lugha za Kitrans-Niugini) ni familia kubwa ya lugha ambazo huzungumzwa katika kisiwa cha Guinea Mpya pande zote mbili nchini Indonesia na nchini Papua Guinea Mpya. Idadi ya lugha katika familia hiyo ni zaidi ya 300.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy