Lugha za Kiyiwaidjan

Eneo la lugha za Kiiwaidjan (rangi ya zambarau)

Lugha za Kiyiwaidjan (au za Kiiwaidjan) ni familia ndogo ya lugha nchini Australia. Katika familia hiyo kuna lugha sita tu ambazo huzungumzwa katika jimbo la Northern Territory: Kiiwaidja, Kigarig, Kiilgar, Kimanangkari, Kimaung na Kiamurdag. Lugha hizo zote zimo hatarini mwa kutoweka au zimeshatoweka.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy