Maine








Maine

Bendera

Nembo
Nchi Bendera ya Marekani Marekani
Mji mkuu Augusta
Eneo
 - Jumla 91,646 km²
 - Kavu 79,931 km² 
 - Maji 11,715 km² 
Tovuti:  http://www.maine.gov/
Maine ya pwani karibu mto Kennebunk

Maine ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Iko katika kaskazini-mashariki ya nchi ikipakana na New Hampshire (Hampshire Mpya), New Brunswick na Quebec katika Kanada. Upande wa mashariki kuna pwani la Atlantiki.

Jimbo lina wakazi wapatao 1,316,456 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 86,542.

Mji mkuu ni Augusta. Miji miwili mikubwa ya jimbo ni Portland na Lewiston.

Picha ya ramani kuonesha eneo la Maine

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy