Maji ya ndani

Maji ya ndani (kwa Kiingereza: "internal waters") katika sheria za kimataifa ni mito, maziwa na sehemu ya bahari vinavyomilikiwa na nchi kama inavyomiliki maeneo ya bara[1].

  1. UN Convention on the Law of the Sea, Part II, Article 8 Internal waters

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy