Majiranukta

Mfumo majira wa kawaida.

Majiranukta (pia: mfumo majiranukta) ni mbinu ya hisabati unaoeleza nafasi ya kila nukta katika seti ya namba.

Majiranukta ya kawaida hueleza nafasi ya nukta katika ubapa.

Nafasi zote zinapangwa kwa njia ya majira (majiranukta) 2 yanaoitwa

  • jira-x jiramlalo
  • jira-y au jirawima

Majiranukta hupatikana kwa kueleza mistari miwili sulubi, moja ukipita kwenye jira-y na mwingine kwenye jira-x. Inapokutana ni nafasi ya nukta inayoelezwa.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy