Manaus

Mji wa Manaus


Manaus
Majiranukta: 3°06′00″S 60°01′00″W / 3.10000°S 60.01667°W / -3.10000; -60.01667
Nchi Brazil
Kanda North
Jimbo Amazonas
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 1,738,641
Tovuti:  www.manaus.am.gov.br

Manaus ni jina la mji mkuu wa jimbo la Amazonas, nchini Brazil. Kwa mujibu wa sensa ya mwaka wa 2009, mji huu uikuwa na wakazi wapatao milioni 1.7. Mji huu upo mita 92 juu ya usawa wa bahari.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy