Mandhari

Mandhari ya ua wa Msikiti mkuu wa Kairouan, Tunisia.

Mandhari (kutoka neno la Kiarabu; kwa Kiingereza: "Panorama", kutoka maneno mawili ya Kigiriki: πᾶν "yote" + ὅραμα "mtazamo") ni mwonekano wa jumla wa mahali unaojumuisha ardhi, milima, mabonde, mito, miti, majengo n.k.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy