Massachusetts








Massachusetts
Bay State

Bendera

Nembo
Nchi Bendera ya Marekani Marekani
Mji mkuu Boston
Eneo
 - Jumla 27,336 km²
 - Kavu 20,306 km² 
 - Maji 7,031 km² 
Tovuti:  http://www.mass.gov/
Picha za miji ndani ya jimbo la Massachusetts

Massachusetts ni jimbo (commonwealth) la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Mji mkuu na mji mkubwa wa jimbo ni Boston. Kwa miji mingine, angalia orodha ya miji. Idadi ya wakazi wa jimbo lote hufikia watu 6,497,967 (2007) wanaokalia eneo la 27,336 km² ambalo ni hasa milima na jangwa. Imepakana na Vermont, New Hampshire, Rhode Island, Connecticut, na New York. Upande wa mashariki maji ya Atlantiki.

Ilikuwa moja ya koloni 13 asilia za Uingereza zilizoasi dhidi ya nchi mama tangu mwaka 1776 na kuanzisha Maungano ya Madola ya Amerika.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by razib.in