Mbili

Mabadiliko katika kuandika mbili.

Mbili ni namba ambayo inafuata moja na kutangulia tatu. Kwa kawaida inaandikwa 2 lakini II kwa namba za Kiroma na ٢ kwa zile za Kiarabu.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy