Michigan








Michigan

Bendera

Nembo
Nchi Bendera ya Marekani Marekani
Mji mkuu Lansing
Eneo
 - Jumla 250,494 km²
 - Kavu 147,121 km² 
 - Maji 103,372 km² 
Tovuti:  http://www.michigan.gov/

Michigan ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Umbo lake linafanana na rasi mawili linalozungukwa na Ziwa Superior, Ziwa Michigan, Ziwa Huron na Ziwa Erie. Imepakana na Kanada, Ohio, Indiana na Wisconsin.

Mji mkuu ni Lansing na mji mkubwa ni Detroit.

Jimbo lina wakazi wapatao 10,003,422 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 253,793.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy