Minna

Lango la Mji wa Minna, jimbo la Niger, Nigeria
Lango la Mji wa Minna, jimbo la Niger, Nigeria

Minna ni mji wa jimbo la Niger, magharibi mwa Nigeria.

Mwaka 2016 idadi ya wakazi ilikadiriwa kuwa 5,556,200.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy