Mradi wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa

Ngao ya Umoja wa Mataifa.
Nembo ya UNDP.

Mradi wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (Kiingereza: United Nations Development Programme; kifupi: UNDP) ni chombo cha Umoja wa Mataifa (UM) kinachochukua dhima ya kusaidia nchi kufuta umaskini na kuleta maendeleo endelevu ya uchumi na watu wote. UNDP husisitiza kuendeleza uwezo ndani ya nchi kuelekea kujitegemea na usitawi


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy