Msitu wa Mau

Msitu wa Mau ni msitu tata katika Bonde la Ufa nchini Kenya. Ni msitu asili wa milimani ulio mkubwa zaidi katika Afrika Mashariki. Msitu tata wa Mau una eneo wa hektari 273300.

Maeneo ya misitu yana baadhi ya viwango vya juu kabisa ya mvua nchini Kenya [1] Misitu ya Mau ni eneo kubwa ya vyanzo vya maji nchini Kenya [2] Mito kadhaa huanza kutoka misitu hii, ikiwemo mto Ewaso Ng'iro (kusini), mto Sondu, Mto Mara na Mto Njoro. Mito hiyo hulisha Ziwa Viktoria, Ziwa Nakuru na Ziwa Natron [1] Miteremko ya mashariki ya bonde la Mau imejazwa msitu wa Mau [1]

  1. 1.0 1.1 1.2 Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named IBA
  2. Daily Nation, 22 Julai 2008: Tamaa kutatiza msitu wa Mau

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy