Mwanafalsafa

Plato ni kati ya wanafalsafa maarufu zaidi.

Mwanafalsafa ni mtaalamu wa fani ya falsafa, iliyoanzishwa katika Ugiriki ya Kale na ikaenea duniani kote hadi leo.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy