Mwanasayansi

Wanasayansi wa kemia katika maabara ya Chuo Kikuu cha La Rioja.

Mwanasayansi ni mtu anayejihusisha na shughuli maalumu ili kupata maarifa. Kwa maana pana zaidi, mwanasayansi anaweza kutajwa kama mtu anayetumia mbinu za kisayansi.[1] Mtu huyo anaweza kuwa mtaalamu katika eneo moja au zaidi ya sayansi.[2]

Wanasayansi hufanya utafiti kuelekea uelewa mkubwa zaidi wa uasilia, ikiwa ni pamoja na ulimwengu kimwili, kihisabati na kijamii. Kwa kawaida wanasukumwa na udadisi wao.

  1. Isaac Newton (1687, 1713, 1726). "[4] Sheria kwa ajili ya utafiti wa Falsafa ya asili", Kanuni za Kihisabati za Falsafa ya Asili, Toleo la tatu.Scholium kuu yenye sheria 4 inafuata kitabu cha 3, Mfumo wa dunia. Iliyochapishwa kwenye kurasa 794-796 wa tafsiri ya 1999 ya I. Bernard Cohen na Anne Whitman's, Chuo Kikuu cha California presskurasa ISBN 0-520-08817-4, 974.
  2. Kamusi ya Kiingereza ya Oxford, toleo la pili. 1989

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy