Nchi kwa maana ya msingi ni Dunia, hasa sehemu yake isiyofunikwa na bahari. Mara nyingi zaidi inataja sehemu maalumu iliyogawanyika kisiasa kwa mipaka na kutajawa kwa jina lake. Kwa maana hiyo ya kawaida nchi ni kitengo cha kisiasa katika eneo maalumu. Kwa kawaida nchi ni pia dola, lakini ziko pia nchi ambazo ni sehemu ya dola kubwa zaidi.
Katika baadhi ya matumizi inaashiria majimbo na vitengo vingine vya kisiasa[1][2][3] ilihali katika mengine inahusu tu majimbo [4]. Si nadra kwa taarifa ya ujumla au machapisho ya takwimu kuchukua ufafanuzi mpana wa neno hili kwa makusudi kama maonyesho na ulinganifu.[5][6][7][8][9]
↑"Legal Research Guide: United Kingdom - Law Library of Congress (Library of Cong". Library of Congress website. Library of Congress. 2009-07-23. Iliwekwa mnamo 2009-09-22. The United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland is the collective name of four countries, England, Wales, Scotland and Northern Ireland. The four separate countries were united under a single Parliament through a series of Acts of Union.
↑"countries within a country:number10.gov.uk". 10 Downing Street website. 10 Downing Street. 2003-01-10. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-09-09. Iliwekwa mnamo 2009-09-22. The United Kingdom is made up of four countries: England, Scotland, Wales and Northern Ireland.
↑"Commonwealth Secretariat - Geography". Commonwealth Secretariat website. Commonwealth Secretariat. 2009-09-22. Iliwekwa mnamo 2009-09-22. The United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland (UK) is a union of four countries: England, Scotland, Wales and Northern Ireland.
↑"Travelling Europe - United Kingdom". European Youth Portal. European Commission. 2009-06-29. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-02-05. Iliwekwa mnamo 2009-09-22. The United Kingdom is made up of four countries: England, Northern Ireland, Scotland and Wales.