Nevada

Sehemu ya Jimbo la Nevada








Nevada

Bendera

Nembo
Nchi Bendera ya Marekani Marekani
Mji mkuu Carson City
Eneo
 - Jumla 286,351 km²
 - Kavu 284,448 km² 
 - Maji 1,903 km² 
Tovuti:  http://www.nv.gov/

Nevada ni jimbo la Marekani upande wa magharibi ya nchi. Mji mkuu ni Carson City na mji mkubwa ni Las Vegas. Imepakana na Oregon, Idaho, Utah, Arizona na California.

Jimbo lina wakazi wapatao 2,600,167 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 286,367.

31 Oktoba 1864 Nevada ikawa jimbo la 36 la Marekani.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy