Nishati | |
---|---|
Alama za kawaida | E |
Kizio cha SI | Jouli |
Kwavizio msingi vya SI | J = kg⋅m2⋅s−2 |
Nishati inamaanisha uwezo wa kufanya kazi na kusababisha mabadiliko. Katika sayansi nishati hupimwa kwa kipimo cha SI joule.
Katika sayansi ina mtazamo wa pekee. Ni aina ya kani/nguvu/uwezo ambapo kazi ikifanyika kama kusogeza kitu, basi tunasema nishati imetumika.