Olympia, Washington

Sehemu ya mji wa Olympia, Washington


Olympia
Olympia is located in Marekani
Olympia
Olympia

Mahali pa mji wa Olympia katika Marekani

Majiranukta: 47°2′33″N 122°53′35″W / 47.04250°N 122.89306°W / 47.04250; -122.89306
Nchi Marekani
Jimbo Washington
Wilaya Thurston
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 42,514
Tovuti:  www.olympiawa.gov

Olympia ndiyo mji mkuu katika jimbo la Washington. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 43,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 29 kutoka juu ya usawa wa bahari.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy