Oregon

Sehemu ya Jimbo la Oregon








Oregon

Bendera

Nembo
Nchi Bendera ya Marekani Marekani
Mji mkuu Salem
Eneo
 - Jumla 254,805 km²
 - Kavu 248,631 km² 
 - Maji 6,174 km² 
Tovuti:  http://www.oregon.gov/

Oregon ni jimbo la Marekani upande wa magharibi-kazkazini ya nchi. Iko kwenye pwani la Pasifiki.

Mji mkuu ni Salem na Portland ni mji mkubwa.

Impekana na Washington, Idaho, Nevada na California.

Jimbo lina wakazi wapatao 3,790,060 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 255,026.

Mlima Hood ni mlima mkubwa katika Oregon.

Miji muhimu baada ya Portland ni Eugene, Astoria, Medford na Bend.



From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy