Owerri


1400
Owerri
Mahali paOwerri
Mahali paOwerri
Map of Nigeria showing the location of Owerri in Nigeria.
Majiranukta: 5°29′6″N 7°2′6″E / 5.48500°N 7.03500°E / 5.48500; 7.03500
State Imo State
Serikali
 - State Governor Chief Ikedi Ohakim
Eneo
 - Jumla 104 km²
 - Kavu 130 km² 
 - Maji 20 km² 
 - Metro 100 km² (38.6 sq mi)
estimated
Idadi ya wakazi (2007)
 - Wakazi kwa ujumla 5.5million
 - Metro 3.5million
estimated
CET (UTC+1)
 - Summer (DST) CEST (UTC+1)

Owerri ni mji katika kusini mashariki mwa Nigeria. Ni mji mkuu wa Jimbo la Imo na iko katika moyo wa Igboland. [1] Sasa ina wakazi takriban 5,408,800 [2] na ukubwa wake ni takribansquare mile 40 (km2 100). imepakana na Mto Otamiri mashariki na Mto Nworie kusini. [3]

Alama ya Owerri ni Heartland. Sasa inafahamika kama mji mkuu wa burudani wa Nigeria na ni nyumbani kwa mrembo wa mwaka anayeitwa "Miss Heartland".

  1. ""Encyclopædia Britannica"". {{cite web}}: Text "2007-04-07" ignored (help)
  2. ""The World Gazetteer"". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-09-27. Iliwekwa mnamo 2007-04-07. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help)
  3. Alex D.W. Acholonu (2008). "Water quality studies of Nworie River in Owerri, Nigeria". Mississippi Academy of Sciences. Iliwekwa mnamo 2009-10-14.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy