Peru

República del Perú
Republic of Peru
Bendera ya Peru Nembo ya Peru
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: "Firme y Feliz Por La Unión" (Imara na furahifu kwa umoja)
Wimbo wa taifa: Somos libres, seámoslo siempre
"Tuko huru tukae hivyo"
Lokeshen ya Peru
Mji mkuu Lima
12°2.6′ S 77°1.7′ W
Mji mkubwa nchini Lima
Lugha rasmi Kihispania Kiquechua Kiaymara1
Serikali Jamhuri
Pedro Castillo
Aníbal Torres
Uhuru
ilitangazwa

28 Julai 1821
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
1,285,216 km² (ya 20)
8.80%
Idadi ya watu
 - 2021 kadirio
 - 2017 sensa
 - Msongamano wa watu
 
34,294,231 (ya 44)
31,237,385
23/km² (ya 198)
Fedha Sol (PEN)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC-5)
(UTC)
Intaneti TLD .pe
Kodi ya simu +51

-

1.) Kiquechua, Kiaymara na lugha za eneo ni lugha rasmi kama ni lugha ya watu wengi wa eneo.


Ramani ya Peru
Peru
Machu Picchu

Peru (pia Peruu) ni nchi ya Amerika Kusini upande wa magharibi ya bara.

Imepakana na Ekuador, Kolombia, Brazil, Bolivia na Chile. Kuna mwambao wa Pasifiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy