Puerto Rico

Estado Libre Asociado de Puerto Rico
Commonwealth of Puerto Rico
Dola huru la kushirikishwa la Puerto Rico
Bendera ya Puerto Rico Nembo ya Puerto Rico
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: Kilatini: Joannes Est Nomen Eius;
Kihispania: Juan es su nombre
("Jina lake ni Yohane ")
Wimbo wa taifa: La Borinqueña
Lokeshen ya Puerto Rico
Mji mkuu San Juan
18°29′ N 66°8′ W
Mji mkubwa nchini San Juan
Lugha rasmi Kihispania, Kiingereza
Serikali demokrasia
Pedro Pierluisi
Uhuru
established_dates =

area = 9,104

{{{established_dates}}}
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
{{{area}}} km² (ya 169)
1.6
Idadi ya watu
 - Julai 2020 kadirio
 - 2020 sensa
 - Msongamano wa watu
 
3,285,874 (ya 130)
3,285,874
350.8/km² (ya 29)
Fedha Dollar ya Marekani (USD)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
AST (UTC-4)
No DST (UTC-4)
Intaneti TLD .pr
Kodi ya simu +1-787 and +1-939

-


Ramani ya Puerto Rico

Puerto Rico ni nchi katika Bahari ya Karibi ambayo ni eneo la kushirikishwa la Marekani katika visiwa vya Antili Kubwa.

Iko upande wa mashariki wa Jamhuri ya Dominika na upande wa magharibi ya Visiwa vya Virgin.

Funguvisiwa la Puerto Rico linajumuisha kisiwa kikuu cha Puerto Rico pamoja na visiwa vidogo kama vile Mona, Vieques, Monito, Desecheo, Caja de Muertos, Pajaros, Icacos, Palominos, Palominitos, Culebrita, na Culebra.

Jina la Puerto Rico kwa Kihispania humaanisha "bandari tajiri".


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy