Siku ya jua

Siku ya jua (ing. solar day) ni muda ambapo Jua linarudia mahali pale pale angani. Muda huu ni tofauti na siku ya nyota. Tofauti hii inatokana na mwendo wa Dunia kwenye mzunguko wake wakati wa siku moja.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy