Suva

Muonekano wa Mji wa Suva

Suva ni mji mkuu wa Fiji nchi ya visiwani katika Pasifiki. Iko kwenye kisiwa cha Viti Levu.

Imekuwa mji mkuu wa koloni ya Fiji tangu 1882 badala ya Levuka kwenye kisiwa cha Ovalau.\

1996 mji ulikuwa na wakazi 77,366 na pamoja na rundiko la mji ni 167,975.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy