Tamaulipas

Bonde la Marcela,Sierra Peña Navada, Sierra Peña Navada,
Bendera ya Tamaulipas
Mahali pa Tamaulipas katika Mexiko

Tamaulipas ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexiko upande wa kaskazini-mashariki ya nchi. Imepakana na Marekani (Texas), Veracruz, San Luis Potosí na Nuevo León. Upande wa mashariki kuna maji ya Ghuba ya Meksiko.

Mji mkuu ni Ciudad Victoria na mji mkubwa ni Reynosa.

Jimbo lina wakazi wapatao 3,024,238 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 79,384.

Lugha rasmi ni Kihispania.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy