Tarakimu

Tarakimu au namba za Kiarabu, kwa maandishi ya Kilatini
Mabadiliko ya umbo la tarakimu za Kiarabu asilia hadi kufikia umbo la tarakimu za kimataifa
Tarakimu za Maya, wenyeji asilia wa Meksiko

Tarakimu (kutoka Kiarabu رقم raqm) au numerali (kutoka Kilatini numerus, kupitia Kiingereza numeral) ni alama za kimaandishi zinazotumiwa kuandika namba.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy