Thabo Mbeki

Thabo Mbeki


Rais wa Afrika Kusini (1999–2008)
Deputy Jacob Zuma
Phumzile Mlambo-Ngcuka
mtangulizi Nelson Mandela
aliyemfuata Kgalema Motlanthe

Makamu wa Rais wa Afrika Kusini (1994–1999)
Rais Nelson Mandela
aliyemfuata Jacob Zuma

tarehe ya kuzaliwa 18 Juni 1942
Mbewuleni, Afrika Kusini
chama African National Congress
ndoa Zanele Dlamini Mbeki
watoto Monwabise Kwanda
mhitimu wa University of London
University of Sussex

Thabo Mvuyelwa Mbeki (amezaliwa 18 Juni 1942) alikuwa Rais wa nchi ya Afrika Kusini tangu 14 Juni 1999 hadi 24 Septemba 2008. Alimfuata Nelson Mandela.

Mbeki alilelewa katika familia ya Waxhosa katika jimbo la Rasi Mashariki. Wazazi walikuwa walimu wa shule na wanachama wa ANC.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy