Tulia Ackson

Hon. Dr. Tulia Ackson
Nchi Tanzania
Kazi yake mwanasheria na mwanasiasa
Cheo Spika wa bunge la Tanzania
Chama cha kisiasa CCM

Tulia Ackson (amezaliwa 23 Novemba 1976) ni mwanasheria na mwanasiasa Mtanzania mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Mapinduzi (CCM).

Tarehe 1 Februari 2022 alichaguliwa na wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa spika wa Bunge hilo. [1]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-02-01. Iliwekwa mnamo 2022-02-01.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy