Tungamo

Tungamo
Jiwe la kg 2 linalotumika katika mizani ili kupimia uzito.
Alama za kawaida
Kizio cha SIkilogramu

Tungamo (pia: masi, kutoka Kiingereza: mass) katika elimu ya fizikia ni tabia ya maada, na kwa njia hii pia tabia ya gimba au dutu.

Kipimo sanifu cha kimataifa cha tungamo ni kilogramu. Alama yake katika fomula kwa kawaida ni .


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy