Tunis


Jiji la Tunis
Nchi Tunisia
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 602,560
Place de la Victoire (Uwanja wa ushindi) mjini Tunis
Picha ya Tunis kutoka angani

Tunis (kwa Kiarabu: تونس ) ni mji mkuu wa Tunisia na mji mkubwa nchini ikiwa na wakazi 602,560 (mwaka 2022) ambao pamoja na wakazi wa mitaa ya nje wanafikia jumla ya milioni 2.7.

Mji uko ufukoni mwa Mediteranea, karibu na Karthago ya Kale.

Mji wa kale (Medina ya Tunis) umeorodheshwa na UNESCO kama Urithi wa Dunia.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy