Udikteta

Benito Mussolini na Adolf Hitler walikuwa madikteta wa Italia na Ujerumani waliofuata mfumo wa ufashisti hadi waliposhindwa katika Vita vikuu vya pili.
Sani Abacha alikuwa dikteta wa kijeshi wa Nigeria miaka 1993 hadi 1998.

Udikteta (kutoka neno lenye asili ya Kilatini: dictator; pia: imla kutoka Kiarabu) ni mfumo wa utawala wa nchi ambapo mtu mmoja asiyebanwa na sheria wala katiba anashika madaraka ya serikali na ana uwezo wa kuyatumia jinsi anavyoamua mwenyewe.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy