Ukuaji

Ukuaji wa mmea.
Ukuaji wa mmojawapo kati ya miji ya Chile.

Ukuaji (kwa Kiingereza "growth"[1]) ni mchakato wa kuongezeka au kuonyesha mabadiliko katika maumbile au mwonekano ule uliokuwepo awali.

Ukuaji unajumuisha mambo yafuatayo:

(a) Mabadiliko katika tabia

(b) Mabadiliko katika sifa

Ukuaji mara nyingi au moja kwa moja hutokea kwa Viumbe hai. Viumbe hai ndio wenye uwezo wa kuonyesha mabadiliko katika tabia na sifa zao kijumla.

Kwa mfano wao, hata miundo inaweza kusemwa kuwa inakua.

  1. https://en.wikipedia.orgview_html.php?sq=Google&lang=sw&q=Growth

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy