Ushirikina

Udongo hamsa kwenye ukuta; uliaminiwa kulinda wenyeji wa nyumba kutoka madhara.

Ushirikina ni wazo ambalo halina sababu yenye msingi katika maarifa au mang'amuzi. Neno hili hutumiwa kwa kutaja imani ambazo hazina msingi. Hii inasababisha baadhi ya ushirikina kuitwa "Hadithi za kale za wake". Pia kwa kawaida hutumiwa katika imani na mazoea zinazohusu bahati au utabiri ambapo matukio ya baadaye yanabashiriwa na matukio yasiyohusiana.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy