Vermont








Vermont

Bendera

Nembo
Nchi Bendera ya Marekani Marekani
Mji mkuu Montpelier
Eneo
 - Jumla 24,901 km²
 - Kavu 23,956 km² 
 - Maji 945 km² 
Tovuti:  http://www.vermont.gov/

Vermont ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Iko katika kaskazini-mashariki ya nchi. Mji mkuu ni Montpelier na mji mkubwa ni Burlington. Impekana na Kanada (Quebec), New Hampshire, Massachusetts na New York. Jimbo lina wakazi wapatao 621,270 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 24,923.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy