Vita baridi

Pande mbili za vita baridi katika Ulaya: washiriki wa Marekani (buluu) na wa Umoja wa Kisovyeti (nyekundu)

Vita baridi ilikuwa kipindi cha ugomvi kati ya makundi mawili ya nchi duniani miaka 1945 - 1989. Upande mmoja zilikuwa nchi zilizoshikama na Marekani: kati ya nchi hizo, nyingi zilikuwa ni za Ulaya Magharibi ambazo zilishikana na Umoja wa Kujihami uliojulikana kama NATO. Upande mwingine nchi zilizoshikamana na Umoja wa Kisovyeti na madola ya Ulaya ya Mashariki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy