Waigbo

Uenezi wa Waigbo.

Waigbo (pia: Waibo) ni kabila kubwa la Nigeria kusini mashariki.

Mwaka 2024 walikadiriwa kuwa milioni 38 hivi[1], wakiwemo 15% ya wakazi wote wa nchi hiyo, mbali ya wanaoishi nje yake.

  1. Sare, Watimagbo (2024). "Total population of the Igbo people". Joshuaproject.net. Iliwekwa mnamo 28 Mei 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy