Wilaya ya Chamwino

Kwa maana nyingine ya jina hilo angalia Chamwino (maana)

Chamwino ni jina la wilaya mpya katika mkoa wa Dodoma Tanzania, ambayo ilianzishwa rasmi mnamo mwaka 2007.

Ina postikodi namba 41400[1].

Idadi ya wakazi wa wilaya hii ilikuwa watu wapatao 19,175 wakati wa sensa ya mwaka 2012. Katika ile ya mwaka 2022 walihesabiwa 486,176 [2].

Makao makuu ya wilaya yako Chamwino mjini.

  1. "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2020-03-21. Iliwekwa mnamo 2017-10-08.
  2. https://www.nbs.go.tz

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy