Wilaya ya Chemba


Wilaya ya Chemba
Mahali paWilaya ya Chemba
Mahali paWilaya ya Chemba
Mahali pa Chemba mkoani Dodoma
Majiranukta: 05°14′34″S 35°53′24″E / 5.24278°S 35.89000°E / -5.24278; 35.89000
Nchi Tanzania
Mikoa Mkoa wa Dodoma
Idadi ya wakazi (2022)
 - Wakazi kwa ujumla 339,333

Chemba ni jina la wilaya mpya katika mkoa wa Dodoma, Tanzania yenye postikodi namba 41800[1], ambayo ilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012 kwa kumega wilaya ya Kondoa[2].

  1. "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2020-03-21. Iliwekwa mnamo 2017-10-08.
  2. "New constituencies up for grabs as CUF cries foul". The Citizen. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-20. Iliwekwa mnamo 21 Julai 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy