Wilaya ya Kongwa

Mahali pa Kongwa (kijani kilichokolea) katika mkoa wa Dodoma.

Wilaya ya Kongwa ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Dodoma, Tanzania, yenye postikodi namba 41500[1].

Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Kongwa ilihesabiwa kuwa 309,973. Katika ile ya mwaka 2022 walihesabiwa 443,867 [2].

  1. "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2020-03-21. Iliwekwa mnamo 2017-11-01.
  2. https://www.nbs.go.tz

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy