Wilaya ya Mpwapwa

Mahali pa Mpwapwa (kijani) katika mkoa wa Dodoma.

Wilaya ya Mpwapwa ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Dodoma, Tanzania, yenye postikodi namba 41600[1].

Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Mpwapwa ilihesabiwa kuwa 305,056. Katika ile ya mwaka 2022 walihesabiwa 403,247 [2].

Wilaya ya Mpwapwa.
  1. "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2020-03-21. Iliwekwa mnamo 2017-10-08.
  2. https://www.nbs.go.tz

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy